Week 15a Review: Juma 15a Tathmini
Loading...
Authors
Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann
Issue Date
2000-01-01
Volume
Issue
Type
Text
Language
en_US
Keywords
Alternative Title
Abstract
JUMA LA MARUDIO|Kutua kwa Muda Ili Kukagua Neema Tulizopokea|Mwongozo: Kufanya Tathmini|Katika Mazoezi ya Kiroho, Mt. Inyasi anawasisitizia waongozi wa wale wanaofanya Mazoezi kuwakumbusha wanaofanya Mazoezi kuwa ni vema “kubaki” pale “wanapopata matunda.” Majuma yaliyopita ya mafungo haya yamekuwa chanzo cha neema zenye nguvu. Juma hili la marudio halianzi mada mpya. Mada ya juma hili ni tafakari ya neema tulizopokea katika majuma kadhaa yaliyopita.
Description
Citation
Publisher
Creighton University, Online Ministries
