Week 17a Review: Juma 17a Tathmini

Loading...
Thumbnail Image

Authors

Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann

Issue Date

2000-01-01

Volume

Issue

Type

Text

Language

en_US

Keywords

Research Projects

Organizational Units

Journal Issue

Alternative Title

Abstract

JUMA LA MARUDIO|Kutua Kwa Muda Ili Kupitia Neema Tulilizopokea|Mwongozo: Neema za Kutuingiza Ndani Zaid|Tunatua tena kidogo ili kutoa nafasi kwa neema tulizopokea kupenyeza ndani zaidi mioyoni mwetu. Tunafanya mafungo haya huku tukiendelea kawaida na maisha na shughuli zetu za kila siku. Sasa tumezizoea sana tafakari zetu za kila siku na tayari zimekuwa zikituletea furaha. Tunajitayarisha kusonga mbele kuelekea kweny tafakari ambazo Yesu atatuonyesha kuhusu safari ya maisha yake.|Juma hili halitupeleki katika maeneo mapya, ila linatuingiza ndani zaidi katika eneo tulilopo. Tunalianza juma hili kwa kuzitazama shauku zetu. Naifanya upya shauku yangu, uchu wangu na uchaguzi wangu kuwa na Yesu—kutaka kumjua kwa ukaribu zaidi, kumpenda kwa undani zaidi na kumfuata kwa moyo zaidi. Juma hili si lenye harakati nyingi ndani moyoni au mawazo makali akilini. Hii ni juma la kufanya uthibitisho. Juma zima, kwa kutumia njia zangu mwenyewe, nakusudia kufanya kumbukumbu ya nia yangu kuu itawale akili na moyo wangu wakati wote, au nafanya bidii katika muda ninaopata kusema tena na tena “Ndiyo, hiki ndicho ninachotafuta; Hiki ndicho ninachochagua—Kuwa nawe Yesu wangu.”

Description

Citation

Publisher

Creighton University, Online Ministries

License

Journal

Volume

Issue

PubMed ID

DOI

Identifier

Additional link

ISSN

EISSN