Week 18 Guide: Juma 18
Loading...
Authors
Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann
Issue Date
2000-01-01
Type
Text
Language
en_US
Keywords
Alternative Title
Abstract
JUMA LA KUMI NA NANE|Namna Tatu za Miitikio|Mwongozo: Motisha|Kabla ya kurudi kwenye maisha ya Yesu, tuchukue wiki moja kuweka msingi wa tafakari zitakazofuata. Tunajua tutavutiwa ndani zaidi katika uhusiano wetu na Yesu na kuwa hii itatuweka huru zaidi katika maamuzi na chaguzi tutakazokuwa tukifanya katika maisha yetu.|Juma hili tukiendelea na shughuli na kazi zetu, tutakuwa ‘tukichambua moyoni’ simulizi ya kitafiti. Tutafanya hali ya kufikirika lakin iliyo katika mfumo wa hali halisi ya maisha, na tutaangalia njia tatu za kuitikia hali halisi inayojitokeza maishani.
Description
Citation
Publisher
Creighton University, Online Ministries