Week 14 Guide: Juma 14

Loading...
Thumbnail Image
Authors
Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann
Issue Date
2000-01-01
Type
Text
Language
en_US
Keywords
Research Projects
Organizational Units
Journal Issue
Alternative Title
Abstract
JUMA LA KUMI NA NNE|Mungu Anatangaza Njia; Watumishi Wako Tayari|Mwongozo: Imani ya Watu Alimozaliwa Yesu|Tunapoangalia albamu ya picha ya rafiki yetu, baadhi ya picha zinazotuvutia zaidi ni zile za wazazi na za bibi na babu zake. Tunajaribu kuziangalia picha hizo kwa ukaribu na umakini zaidi ili kuona jinsi ambavyo rafiki yetu anaweza kuwa amefanana na mama, baba, bibi au babu wake. Tunajaribu pia kuchunguza iwapo kuna ushabihiano wowote wa tabia, sifa na mienendo ya nafsi, kati ya rafiki yetu na wahenga wake—jinsi walivyosimama kupiga picha, mavazi waliyonayo, shughuli waliyokuwa wakifanya pichani, ishara za usoni, nk.|Katika juma hili tutatumia sura za kwanza ya Injili ya Matayo na ya Luka katika kufuatilia matamanio yetu yanaoongezeka daima ya kumjua Yesu kwa ukamilifu zaidi, ili kwamba tuweze kumpenda kwa undani zaidi, kwa sababu tunataka kumfuasa kwa uhuru zaidi.|Maandiko Matakatifu:|Luka 1:5-25, 57-66|Luka 1:26-38|Luka 1:39-56|Luka 1:67-79| Matayo 1: 18-24
Description
Citation
Publisher
Creighton University, Online Ministries
License
Journal
Volume
Issue
PubMed ID
DOI
ISSN
EISSN