The Week 7 Guide: Juma 7

Loading...
Thumbnail Image

Authors

Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann

Issue Date

2000-01-01

Volume

Issue

Type

Text

Language

en_US

Keywords

Research Projects

Organizational Units

Journal Issue

Alternative Title

Abstract

JUMA LA SABA|Vurugu la Dhambi — Mwelekeo Binafsi|Mwongozo: Kuweka Wazi na Kutegua Fumbo la Dhambi Zetu|Juma lililopita tulipitia uwepo wa dhambi na udhambi wetu katika mtazamo wa upendo mkuu wa Mungu. Juma hili tunajipa muda wa kuchungua mwelekeo au mfumo wa udhambi wetu ili kwamba tuweze kutambua kwa undani zaidi upendo wa Mungu na hamu kubwa aliyonayo Mungu ya kuhusiana nasi kwa karibu zaidi.|Sote tunajua ukweli kwamba kitambaa hufanywa kwa nyuzi nyingi zilizowekwa kwa mpangilio fulani ambao hukifanya kiwe kilivyo; na pengine nyuzi hizi huwa za rangi mbalimbali na hufumwa katika mpango maalum wa kukipa kitambaa sura aitakayo mfumaji.|Nasi hapa tunajaribu kuzichungua nyuzi za dhambi, ili kutambua jinsi dhambi zinavyozalika na mfumo au mwelekeo wake. Kwa kufanya hivi tunategemea kutambua jinsi dhambi itokeavyo kati yetu. Ni kipi hasa kinacholeta mvuto wa kutenda dhambi na ni mivutano ipi ipo moyoni mwangu? Naweza kuanuisha motisha unaojenga ndani yangu silika ya kupingana na matakwa ya Mungu? Naweza kutaja misingi ya ukosefu wa uhuru wangu? Najua chimbuko la hofu yangu?|Maandiko Matakatifu:|Matayo 8:1–13|Luka 9:23–25|2 Wakorinto 12:8–10|Luka 5:1–11|Luka 5:17–26|Matayo 25:31–46

Description

Citation

Publisher

Creighton University, Online Ministries

License

Journal

Volume

Issue

PubMed ID

DOI

Identifier

Additional link

ISSN

EISSN