The Week 8 Guide: Juma 8

Loading...
Thumbnail Image

Authors

Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann

Issue Date

2000-01-01

Volume

Issue

Type

Text

Language

en_US

Keywords

Research Projects

Organizational Units

Journal Issue

Alternative Title

Abstract

JUMA LA NANE|Upendo wa Mungu Kwetu — Huruma Yenye Msamaha| Mwongozo: Vipi Mungu Sharti Afurahie| Katika juma hili tutazungukia upendo wa Mungu kwetu. Tunataka kuuonja na kufurahia kikamilifu msamaha wa dhambi ambao ni zawadi ya Mungu kwetu.|Japokuwa tumejaribu kufunga kila tafakari ya udhambi wetu kwa uhalisi au ukweli wa huruma ya Mungu, juma hili tutajaribu kutoa nafasi kwa huruma ya Mungu iliyo chanzo cha msamaha wa dhambi iwe ‘kibwagizo’ cha yote katika juma zima.|Tunaanza kwa kumgeuzia macho Mungu. Taswira ya Mama akimpakata binti yake yaweza kutupa motisha kubaki tukitazama uso wa Mungu. Uso wa mama huyu utatusaidia kuanza kutafakari nguvu itokanayo na jinsi Mungu anavyotukumbatia.|Maandiko Matakatifu:|Yohana 4:5–42|Yohana 9:1–4|Yohana 8:3–11|Hosea 14:1–10|Luka 15:11–32

Description

Citation

Publisher

Creighton University, Online Ministries

License

Journal

Volume

Issue

PubMed ID

DOI

Identifier

Additional link

ISSN

EISSN