The Week 3 Guide: Juma 3

Loading...
Thumbnail Image

Authors

Alexander, Andy, S.J.
Waldron, Maureen McCann

Issue Date

2000-01-01

Volume

Issue

Type

Text

Language

en_US

Keywords

Research Projects

Organizational Units

Journal Issue

Alternative Title

Abstract

JUMA LA TATU|Mtazamo—Picha Thabiti|Mwongozo: Ulimwengu Kama Unavyopaswa Kuwa|Baada ya majuma mawili ya kupitia na kutafakari hadithi ya maisha yetu na kuiona kama hadithi ya uwepo wa Mungu asiyetutelekeza kamwe, sasa tunasonga mbele kuwa na mtazamo mpana zaidi.|Katika juma hili tunanataka kutafakari juu ya ufunuo wa nia ya Mungu kutuumba sisi na viumbe vingine vyote.|Mtakatifu Inyasi wa Loyola kautafsiri ufunuo wa nia ya Mungu kwa maneno machache:|Mungu katuumba kumsifu, kumtukuza na kumtumikia yeye|na katika kutakeleza hayo, sisi kupata wokovu wa roho zetu.|Mungu kaumba viumbe vingine vyote|kututusaidia kutekeleza nia hiyo ya kuumbwa kwetu naye Mungu|Katika juma hili tuweke moyoni na kutilia maanani tafakari mbili nzuri:|Ninapokuwa nikifanya kazi zangu za kawaida na kuendelea na shunguli zingine za kila siku, nijitahidi kuwa daima kutanabahi au kuwa na utambuzi wa nia ya Mungu kuniumba mimi:|Kumsifu Mungu.|Kumsimtukuza Mungu: kukua katika kumhimidi na kumpenda Mungu|Kutumikia: kuwa katika utumishi wa Mungu.|Kuwa makini zaidi katika kutambua uwepo wa viumbe vingine na nia ya Mungu ya kuviumba vyote hivyo kunisaidia mimi — vyote vimeumbwa kwa ajili yangu.|Maandiko Matakatiu|Waefeso 1:3–12|Zaburi 138

Description

Citation

Publisher

Creighton University, Online Ministries

License

Journal

Volume

Issue

PubMed ID

DOI

Identifier

Additional link

ISSN

EISSN